Home LOCAL RAIS SAMIA SULUHU AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA KIKOSI KAZI CHA KURATIBU MAONI...

RAIS SAMIA SULUHU AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA KIKOSI KAZI CHA KURATIBU MAONI YA WADAU WA DEMOKRASIA YA VYAMA VINGI VYA SIASA, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mwenyekiti wa Kikosi Kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa Profesa Rwekaza Mukandala aliyeambatana na baadhi ya Wajumbe wa Kikosi kazi hicho Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Mei, 2022.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa na Mwenyekiti wa Kikosi Kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa Profesa Rwekaza Mukandala kwenye  picha ya pamoja na baadhi ya Wajumbe wa Kikosi kazi hicho mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Mei, 2022.
Previous articleCHONGOLO AKIWA KWENYE ZIARA YAKE KISHAPU MKOANI SHINYANGA
Next articleUMUHIMU WA KUSAJILI TOVUTI AU WAVUTI YAKO NA KIKAO CHA DOT TZ
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here