Home LOCAL KONGAMANO LA AIESEC LAFANYIKA CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI (MoCU)

KONGAMANO LA AIESEC LAFANYIKA CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI (MoCU)

KONGAMANO LA AIESEC LAFANYIKA CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI (MoCU)

Meneja Raslimali Watu wa mgodi wa Bulyanhulu, Chrispin Ngwaji,akiongea katika kongamano la AIESEC lililofanyika katika Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU).
**
 Kongamano la kuwajengea uwezo wanafunzi wa vyuo vikuu nchini kwa ajili ya kuwajengea uwezo wa kupata ajira sambamba na kuchangamkia fursa mbalimbali zinazojitokeza ikiwemo kujiajiri lililoandaliwa na taasisi ya AIESEC Tanzania na kudhaminiwa na kampuni ya madini ya Barrick kwa kushirikiana na wadau mbalimbali limefanyika mwishoni mwa wiki katika Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi.
 
Meneja Raslimali Watu wa mgodi wa North Mara, Erick Wambura, akiongea katika kongamano la AIESEC lililofanyika katika Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU).
 
Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo kikuu cha Ushirika Moshi wakifuatilia mada wakati wa kongamano hilo.
 
Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo kikuu cha Ushirika Moshi wakifuatilia mada wakati wa kongamano hilo.
 
Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo kikuu cha Ushirika Moshi wakifuatilia mada wakati wa kongamano hilo.
 
Baadhi ya wanafunzi wa MoCU katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa AIESEC Tanzania na Barrick wakati wa kongaman hilo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here