Home LOCAL SPIKA WA BUNGE DKT. TULIA ACKSON AIPONGEZA WIZARA YA AFYA KWA KUJIBU...

SPIKA WA BUNGE DKT. TULIA ACKSON AIPONGEZA WIZARA YA AFYA KWA KUJIBU MASWALI VIZURI BUNGENI

 

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Tulia Ackson ameipongeza Wizara ya Afya kwa kujibu maswali vizuri na kwa ufasaha Bungeni.

Pongezi hizo zimetolewa katika kipindi cha maswali na majibu leo Bungeni kwa Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel alipokuwa akijibu maswali kwa niaba ya Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu. 

“Niwapongeze sana Wizara ya Afya kwa maiibu yamoja kwa moja (direct) kwenye Swali lililoulizwa” amesema Mhe. Tulia.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here