Home LOCAL SPIKA WA BUNGE DKT. TULIA ACKSON AIPONGEZA WIZARA YA AFYA KWA KUJIBU...

SPIKA WA BUNGE DKT. TULIA ACKSON AIPONGEZA WIZARA YA AFYA KWA KUJIBU MASWALI VIZURI BUNGENI

 

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Tulia Ackson ameipongeza Wizara ya Afya kwa kujibu maswali vizuri na kwa ufasaha Bungeni.

Pongezi hizo zimetolewa katika kipindi cha maswali na majibu leo Bungeni kwa Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel alipokuwa akijibu maswali kwa niaba ya Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu. 

“Niwapongeze sana Wizara ya Afya kwa maiibu yamoja kwa moja (direct) kwenye Swali lililoulizwa” amesema Mhe. Tulia.

Previous articleNABII DKT.JOSHUA ASISITIZA RAIS SAMIA NI KIONGOZI HODARI
Next articleWARATIBU WA IDSR NCHINI WAMETAKIWA KUZINGATIA UKUAJI WA TEKNOLOJIA YA MAWASILIANO
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here