Home LOCAL MAKAMU WA RAIS DKT.MPANGO ASHIRIKI MISA TAKATIFU YA SIKUKUU YA PASAKA

MAKAMU WA RAIS DKT.MPANGO ASHIRIKI MISA TAKATIFU YA SIKUKUU YA PASAKA

 AMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiongozana na mkewe Mama Mbonimpaye Mpango leo tarehe 15 Aprili 2022 wameshiriki ibada ya Misa Takatifu ya Sikukuu ya Pasaka katika Kanisa katoliki Parokia ya  Maria Theresa Ledochowska iliopo kiwanja cha ndege mkoani Dodoma.

Ibada hiyo imeongozwa na Padri  Gilbert Magidale.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here