Home LOCAL RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA VIONGOZI MBALIMBALI WA UN JIJINI NEW YORK USA

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA VIONGOZI MBALIMBALI WA UN JIJINI NEW YORK USA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mhe. Amina J. Mohamed Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Jijini New York Nchini Marekani leo.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Amina J. Mohamed Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa baada ya mazungumzo yao Jijini New York Nchini Marekani leo.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mhe. Joyce Msuya Msaidizi wa Katibu wa Masuala ya Kibina Adamu na Naibu Mratibu wa Misaada ya Dharura katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa inayoratibu Masuala ya kibinaadamu, Jijini New York Nchini Marekani leo.
Previous articleMAKAMU WA RAIS DKT.MPANGO ASHIRIKI MISA TAKATIFU YA SIKUKUU YA PASAKA
Next articleKUNA UMUHIMU MKUBWA KWA WATANZANIA KUJITOKEZA KWENYE ZOEZI LA SENSA: MAMA KEVELA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here