Home LOCAL MAKAMU MWENYEKITI WA CCM BARA NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AWAHUTUBIA WANA CCM WA...

MAKAMU MWENYEKITI WA CCM BARA NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AWAHUTUBIA WANA CCM WA MKOA WA DAR ES SALAAM

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Tanzania Bara Ndg. Abdulrahman Omar Kinana akizungumza na wana CCM katika hafla ya kumkaribisha na kumpongeza Makamu mwenyekiti huyo leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini wa Dar Es Salaam iliyofanyika leo Jumapili Aprili 9, 2022.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Daniel Chongolo akizungumza na wana CCM katika hafla ya kumkaribisha na kumpongeza Makamu mwenyekiti Ndugu Abdulrahman Omar Kinana leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini wa Dar Es Salaam iliyofanyika leo Jumapili Aprili 9, 2022.

 


Katibu wa NEC Itikadi na Unenezi Taifa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Shaka Hamdu Shaka akieelezea mambo kadhaa kabla ya Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho kuzungumza na wana CCM.


Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Tanzania Bara Ndg. Abdulrahman Omar Kinana na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Daniel Chongolo wakiwa katika mkutano huo huku wakijadiliana jambo.

Meza Kuu.


Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Tanzania Bara Ndg. Abdulrahman Omar Kinana na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Daniel Chongolo wakiburudika na muziki katika mkutano huo.


Diwani wa Kata ya Msasani, Kionondoni, Jijini Dar es Salaam, Luca Neghest akiwa na mwana CCM mwenzie Badili Mangula mara baada ya kumalizika kwa mkutano huo.


Diwani wa Kata ya Msasani, Kionondoni, Jijini Dar es Salaam, Luca Neghest kulia akijumuika pamoja na wajumbe wengine katika mkutano huo.


Mbunge wa jimbo la Kinondoni Abbas Tarimba akiwa na Meya wa Kinondoni na Songoro Mnyonge kuwa Meya wa Halmashauri


Baadhi ya wana CCM wakiburudika na muziki katika mkutano huo wa kumpokea Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Tanzania Bara Ndg. Abdulrahman Omar Kinana.

   Kundi la muziki la TOT likutumbuiza katika mkutano huo.

Baadhi ya wazee wa Dar es Salaam wakiwa katika mkutano huo.

    Diwani wa  Kata ya Msasani, Kionondoni, Jijini Dar es Salaam, Luca Neghest kulia akijumuika pamoja na wajumbe wengine katika mkutano huo.

  

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Tanzania Bara Ndg. Abdulrahman Omar Kinana.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here