Home BUSINESS MWENYEKITI MPYA WA BODI YA BANK OF AFRICA ATEMBELEA OFISI ZA MAKAO...

MWENYEKITI MPYA WA BODI YA BANK OF AFRICA ATEMBELEA OFISI ZA MAKAO MAKUU YA BENKI

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bank of Africa Bw. Nehemia Kyando Mchechu akikaribishwa na Mkurugenzi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Bw. Adam Mihayo wakati alipofanya ziara ya kikazi katika ofisi za makao makuu ya benki hiyo juzi.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bank of Africa Bw.Nehemia Kyando Mchechu akiongea na viongozi wa benki hiyo wakati alipofanya ziara ya kikazi katika ofisi za makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es alaam juzi,(wa kwanza kushoto) ni Mkurugenzi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Bw. Adam Mihayo.
 
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bank of Africa Bw.Nehemia Kyando Mchechu (Kushoto) akipokea nyaraka za kazi kutoka kwa Mkurugenzi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Bw. Adam Mihayo wakati alipofanya ziara ya kikazi katika ofisi za Makao Makuu ya Benki hiyo jijini Dar es alaam juzi.
 
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bank of Africa Bw.Nehemia Kyando Mchechu akibadilishana mawazo na Mkurugenzi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Bw. Adam Mihayo, wakati alipofanya ziara ya kikazi katika ofisi za makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es alaam juzi.
 
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bank of Africa Bw.Nehemia Kyando Mchechu (wa pili kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Maofisa Waandamizi wa benki wakati alipofanya ziara ya kikazi katika ofisi za makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es alaam juzi.
Previous articlePOLISI WAISHIKA PABAYA SIMBA
Next articleMAKAMU MWENYEKITI WA CCM BARA NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AWAHUTUBIA WANA CCM WA MKOA WA DAR ES SALAAM
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here