Home BUSINESS ZANZIBAR QUALITY TAILORING YAFANYA MAONYESHO YA BIDHAA ZAKE BLW

ZANZIBAR QUALITY TAILORING YAFANYA MAONYESHO YA BIDHAA ZAKE BLW

 
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zubeir Ali Maulid Akipewa maelezo ya Bidhaa za Viatu vinavyotengezwa na kiwanda cha Zanzibar Quality Tailoring Limited kilichopo chini ya Idara maalum za SMZ wakati alipotembelea maonesho hayo ya siku mbili yaliyofanyika katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi Chukwani.
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zubeir Ali Maulid Akikagua Bidhaa za Viatu vinavyotengezwa na kiwanda cha Zanzibar Quality Tailoring Limited kilichopo chini ya Idara maalum za SMZ wakati alipotembelea maonesho hayo ya siku mbili yaliyofanyika katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi Chukwani.
Previous articleHOTUBA YA MHE. HEMED SULEIMAN ABDULLAH KATIKA MKUTANO WA SITA WA BARAZA LA KUMI LA WAWAKILISHI CHUKWANI ZANZIBAR
Next articleJAJI MSOFFE AIPONGEZA MENEJIMENTI YA TUME YA KUREKEBISHA SHERIA TANZANIA KWA KUTOA MAFUNZO YA KUJIANDAA KUSTAAFU

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here