Home SPORTS KMC YAILIPUA POLISI TANZANIA 3-0

KMC YAILIPUA POLISI TANZANIA 3-0

Na: Stella Kessy DAR.

KIKOSI cha KMC leo imelipa kisasi mbele ya Polisi Tanzania kwa kuwatungua mabao 3-0 na kusepa na pointi tatu mchezo  uliochezwa Uwanja wa Azam Complex.

Huku katika mchezo wa mzunguko wa kwanza walipokutana Uwanja wa Karatu,  Polisi Tanzania 2-0 KMC na kuwafanya waweze kusepa na alama 3.

Mabao yalijazwa kimiani na Idd Kipagwile dk 15, Emmanuel Mvuyekule dk 73 na Sadalla Lipangile dk 88.

Ushindi huo unaifanya KMC kufikisha pointi 22 ikiwa nafasi ya 6 na Polisi Tanzania inabaki na pointi 19 ikiwa nafasi ya 9 katika msimamo.

Previous articleRAIS WA UFARANSA EMMANUEL MACRON AMTUNUKU MEDALI YA KIMATAIFA MFANYABIASHARA MAARUFU TANZANIA JITESH LADWA
Next articleDC MGEMA AWAPONGEZA WADAU WA SEKTA YA UTALII WALIOSHIRIKI MAFUNZO YA COVID-19 SONGEA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here