Home SPORTS HAKUNA KIINGILIO MECHI YA TANZANITE Vs ETHIOPIA

HAKUNA KIINGILIO MECHI YA TANZANITE Vs ETHIOPIA

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

MASHABIKI wataingia bure katika mechi ya kwanza ya Raundi ya Tatu kufuzu Kombe la Dunia Wasichana chini ya umri wa miaka 20 baina ya wenyeji, Tanzania na Ethiopia leo jumapili januari 23,2022 katika  Uwanja wa Amaan, Zanzibar.