Home LOCAL RAIS SAMIA AZINDUA TAMASHA LA UTAMADUNI KILIMANJARO

RAIS SAMIA AZINDUA TAMASHA LA UTAMADUNI KILIMANJARORais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Januari, 22, 2022 amekuwa Mgeni Rasmi kwenye Tamasha la kihistoria la Utamaduni la Mkoa wa Kilimanjaro linalofanyika katika uwanja wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi.
Maelfu ya wananchi wa Kilimanjaro na kutoka maeneo mbalimbali ya Tanzania wamefurika katika tamasha hili lenye kauli mbiu ya “Utamaduni wetu, fahari yetu, kwa maendeleo yetu, kazi iendelee”.

Previous articleWAZIRI BASHUNGWA KUWAPIMA WAKUU WA WILAYA NA WAKURUGENZI NCHINI KATIKA UKUSANYAJI MAPATO.
Next articleHAKUNA KIINGILIO MECHI YA TANZANITE Vs ETHIOPIA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here