Home SPORTS MECHI YA KAGERA SUGAR V SIMBA IMEAHIRISHWA

MECHI YA KAGERA SUGAR V SIMBA IMEAHIRISHWA

Na: Mwandishi wetu.

RASMI mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Kagera Sugar dhidi ya Simba umeahirishwa.

Mchezo huo ulitarajiwa kuchezwa leo Desemba 18, Uwanja wa Kaitaba na maandalizi yalikuwa yamekamilika kwa timu zote mbili.

Jana kwenye kikao cha wanahabari, Kocha Msaidizi wa Simba Seleman Matola,

alibainisha kuwa karibu robo tatu ya wachezaji wa timu ya Simba walikuwa wanasumbuliwa na homa pamoja na mafua

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here