Home SPORTS MECHI YA KAGERA SUGAR V SIMBA IMEAHIRISHWA

MECHI YA KAGERA SUGAR V SIMBA IMEAHIRISHWA

Na: Mwandishi wetu.

RASMI mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Kagera Sugar dhidi ya Simba umeahirishwa.

Mchezo huo ulitarajiwa kuchezwa leo Desemba 18, Uwanja wa Kaitaba na maandalizi yalikuwa yamekamilika kwa timu zote mbili.

Jana kwenye kikao cha wanahabari, Kocha Msaidizi wa Simba Seleman Matola,

alibainisha kuwa karibu robo tatu ya wachezaji wa timu ya Simba walikuwa wanasumbuliwa na homa pamoja na mafua

Previous articleHABARI ZILIZOPO MAGAZETI YA LEO J.MOSI DISEMBA 18-2021
Next articleRC KAFULILA AAFIZA WAZAWA WA MALAMPAKA WAPEWE KIPAUMBELE MRADI WA SGR
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here