Home BUSINESS VODACOM TANZANIA PLC WAKABIDHIWA TUZO KINARA SEKTA BINAFSI

VODACOM TANZANIA PLC WAKABIDHIWA TUZO KINARA SEKTA BINAFSI

Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt Dorothy Gwajima (kushoto) akimkabidhi tuzo Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania Plc Alex Bitekeye (kulia) baada ya Vodacom Tanzania Plc kushinda tuzo ya sekta binafsi yenye mchango mkubwa katika maendeleo ya jamii baada ya kushiriki kwenye wiki ya Azaki ambayo ilifanyika jijini Dodoma hivi karibuni.

Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania Plc Alex Bitekeye (kushoto) akionyesha tuzo ambayo kampuni ya Vodacom Tanzania Plc ilikabidhiwa baada ya kuibuka kinara katika sekta binafsi kwa mchango wake katika maendeleo ya jamii kwenye wiki ya Azaki ambao ulifanyika jijini Dodoma hivi karibuni. Kulia ni Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt Dorothy Gwajima.

Previous articleDKT ABBASI: TANZANIA NA TAIFA STARS TUNAJAMBO LETU, NJOONI KWA MKAPA
Next articleWAZIRI WA HABARI MHE.TABIA MWITA ATOA UFAFANUZI WA FEDHA ZA MKOPO KUTOKA IMF
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here