Home LOCAL WAZIRI WA HABARI MHE.TABIA MWITA ATOA UFAFANUZI WA FEDHA ZA MKOPO KUTOKA...

WAZIRI WA HABARI MHE.TABIA MWITA ATOA UFAFANUZI WA FEDHA ZA MKOPO KUTOKA IMF

  Waziri wa Habari , Vijana , Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita, akizungumza na Waandishi wa habari juu ya ufafanuzi wa Fedha za Mkopo kutoka Shirika la Fedha Duniani (IMF), zinazotarajiwa kutumika katika Wizara yake, Hafla iliyofanyika Ukumbi wa Wizara hiyo Migombani Mjini Zanzibar.

Picha Na Maryam Kidiko / Maelezo Zanzibar

Previous articleVODACOM TANZANIA PLC WAKABIDHIWA TUZO KINARA SEKTA BINAFSI
Next articleRAIS MHE DK.HUSSEIN MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MSANII MAARUFU KUTOKA NCHINI INDIA IKULU ZANZIBAR.
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here