Home SPORTS SIMBA SC ILIVYOTUA JIJINI MWANZA KUIVAA RUVU SIMBA SC ILIVYOTUA JIJINI MWANZA KUIVAA RUVU By HUGHES DUGILO - November 18, 2021 FacebookTwitterTelegramWhatsAppCopy URL MABINGWA watetezi, Simba SC wamewasili salama Jijini Mwanza kwa ndege jioni ya leo kuelekea mchezo wao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya wenyeji wa muda, Ruvu Shooting Jumamosi Uwanja wa CCM Kirumba.