Home LOCAL RAIS MWINYI AZINDUA KIWANDA CHA ZANZIBAR HANDMADE COSMETIC

RAIS MWINYI AZINDUA KIWANDA CHA ZANZIBAR HANDMADE COSMETICRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Akikata Utepe Kuzindua Kiwanda cha Zanziba Handmade Cosmetics. Rais Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi aliongozana na mke wake 1st Lady Mariam Mwinyi Pamoja na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali, Zanzibar.

Rais wa Zanzibar wa Awamu ya Nane, na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi Akishihudia Baadhi ya Bidhaa zinazozalishwa na kiwanda hicho. Mkurugenzi wa kampuni ya Shear illusions akitoa maelekezo kwa Mhe. Rais Mwinyi na wageni mbalimbali kuhusu bidhaa zinazozalishwa kiwandani hapo.

Rais wa Zanzibar wa Awamu ya Nane na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi Akimsikiliza Mkurugenzi wa Shear Illusions Africa, Mama Shekha Nasser Ambaye Ndiye Mwekezaji wa Kiwanda cha Zanzibar Handmade Cosmetics.

Previous articleWETCU YATOA MAKISIO YA UZALISHAJI KILO MILIONI 15 ZA TUMBAKU 2021/2022
Next articleHISTORIA MPYA YAANDIKWA NOVEMBA 12,2021 MJINI UNGUJA ZANZIBAR
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here