Home ENTERTAINMENTS RAIS MHE DK.HUSSEIN MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MSANII MAARUFU KUTOKA NCHINI...

RAIS MHE DK.HUSSEIN MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MSANII MAARUFU KUTOKA NCHINI INDIA IKULU ZANZIBAR.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Muigizaji Maarufu wa Filamu za Kihindi Sanjay Dutt (kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzinar leo akiwa na ujumbe wake.[Picha na Ikulu] 09/11/2021.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Muigizaji Maarufu wa Filamu za Kihindi Sanjay Dutt (kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzinar leo akiwa na ujumbe wake.[Picha na Ikulu] 09/11/2021.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza mgeni wake Muigizaji Maarufu wa Filamu za Kihindi Sanjay Dutt (kushoto) akisisitiza jambo wakati wa marungumzo yao yaliyofanyika leo alipofika Ikulu Jijini Zanzinar akiwa na ujumbe wake.[Picha na Ikulu] 09/11/2021.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiwa katika mpicha na mgeni wake Muigizaji Maarufu wa Filamu za Kihindi Sanjay Dutt baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Jijini Zanzinar leo akiwa na ujumbe aliofuatana nao.[Picha na Ikulu] 09/11/2021.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Kasha Mgeni wake Muigizaji Maarufu wa Filamu za Kihindi Sanjay Dutt (kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzinar leo akiwa na ujumbe wake.[Picha na Ikulu] 09/11/2021.


LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here