Na: Stella Kessy, DAR ES SALAAM.
MABINGWA watetezi Simba wamewasili leo kutoka Dodoma katika mchezo wao wa ligi kuu Tanzania bara dhidi ya Dodoma uliopigwa katika dimba la Jamhuli mkoani humo.
Hata hivyo baada ya kufika Dar kikosi kitapewa mapumziko ya siku chache kabla ya kurudi mazoezin.
Huku baadhi ya wachezaji walioitwa kwenye timu zao za Taifa wataenda na wengine wataendelea na mapumziko.

Taifa Stars inajiandaa na mchezo wa kufuzu fainali za kombe la dunia dhidi ya Benin
Utakaopigwa oktoba 7 Hapa nchni kabla ya kurudiana siku tatu baadae ugenini.