Home SPORTS SIMBA YAREJEA JIJINI DAR

SIMBA YAREJEA JIJINI DAR

Na: Stella Kessy, DAR ES SALAAM.

MABINGWA watetezi  Simba wamewasili leo kutoka Dodoma  katika mchezo wao wa ligi kuu Tanzania bara  dhidi ya Dodoma  uliopigwa katika dimba la Jamhuli mkoani humo.

Hata hivyo baada ya kufika Dar kikosi kitapewa mapumziko ya siku chache kabla  ya kurudi mazoezin.

Huku baadhi ya wachezaji walioitwa kwenye timu zao za Taifa wataenda na wengine  wataendelea na mapumziko.

Katika kikosi cha simba jumla ya wachezaji nyita 9 wameitwa katika timu ya taifa akiwemo, Aishi manula, Erasto Nyoni, Israel Patrick, Kennedy Juma, Jonas Mkude, Mzamiru Yassin, na John Bocco, wameitwa kwenye timu ya taifa ya Tanzania(Taifa Stars).

Taifa Stars inajiandaa na mchezo wa kufuzu fainali za kombe la dunia dhidi ya Benin

Utakaopigwa oktoba 7 Hapa nchni kabla ya kurudiana siku tatu baadae ugenini.

Previous articleMWANDISHI MWANDAMIZI KHERI SHAABAN APONGEZWA NA VIONGOZI WA JIJI DAR
Next articleBUMBULI: YANGA IPO IMARA KUNYAKUA POINTI TATU DHIDI YA GEITA.
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here