Home SPORTS SIMBA KUIFUTA GALAXY IJUMAA

SIMBA KUIFUTA GALAXY IJUMAA

Na: Stella Kessy, DAR ES SALAAM.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

WAWAKILISHI wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba wanatarajia kuondoka ijumaa  kuelekea nchini Botswana kwa mchezo wa hatua ya kwanza  dhidi ya wenyeji Jwaneng Galaxy.

Kikosi kinaondoka na wachezji wote waliokuwa fiti na kamili kwa ajili ya machezo huo ambao tunahitaji kufanya vizuri ili mechi ya marudio nyumbani  iwe rahisi 

Katika mchezo  wao dhidi ya Jwaneng unaochezaa jumapili oktoba 17 wakati marudiano yatakuwa oktoba 24 katika uwanja wa benjamini  mkapa jijini Dar es Salaam. 



Hata hivyo kikosi cha simba kinafanya maandalizi ya mchezo huo katika  Uwanja wa Boko Veteran kwa ajili ya maandalizi ya mchezo huo.

Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomes amesema kuwa wanatambua kwamba kila mmoja anatambua kuwa wanakwenda kufanya kazi ngumu na kila mchezaji anajua kinachohitajika