Home SPORTS SIMBA DAY YANOGA KWA MKAPA.

SIMBA DAY YANOGA KWA MKAPA.

DAR ES SALAAM.

Mabingwa wa Tanzania bara,Simba Leo wanashuka dimbani kuchuana na Tp Mazembe katika tamasha la Simba day katika mchezo utakaopigwa katika dimba la Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam.

Simba Leo wanatambulisha kikosi chao Cha msimu mzima wa ligi kuu pamoja na michuano ya kimataifa.

Katika tamasha Hilo ambalo litakuwa na burudani mbalimbali kwa wasanii mbalimbali ambao ni wapenzi wa timu hiyo.

Previous articleMKUU WA MKOA WA GEITA AMEFURAHISHWA NA MATUMIZI YA TEKINOLOJIA KATIKA SEKTA YA MADINI
Next articleSTAMICO KUJIIMARISHA KATIKA UONGEZAJI THAMANI WA DHAHABU
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here