Home LOCAL RAIS SAMIA AKISALIMIANA NA WANANCHI WA TEGETA NA ZINGA BAGAMOYO

RAIS SAMIA AKISALIMIANA NA WANANCHI WA TEGETA NA ZINGA BAGAMOYO

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

 

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi wa Kijiji cha Tegeta Jijini Dae es salaam, alipokuwa njiani akielekea Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani leo Sept 02,2021 kwa kwa ajili ya kuendelea kurekodi kipindi maarufu cha Royal Tour kitakachotangaza Utalii, Biashara na Uwekezaji Nchini.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi wa Kijiji cha Zinga Bagamoyo alipokuwa njiani akielekea Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani leo Sept 02,2021 kwa kwa ajili ya kuendelea kurekodi kipindi maarufu cha Royal Tour kitakachotangaza Utalii, Biashara na Uwekezaji Nchini. PICHA NA IKULU.