Home LOCAL RAIS SAMIA AKISALIMIANA NA WANANCHI WA TEGETA NA ZINGA BAGAMOYO

RAIS SAMIA AKISALIMIANA NA WANANCHI WA TEGETA NA ZINGA BAGAMOYO


 

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi wa Kijiji cha Tegeta Jijini Dae es salaam, alipokuwa njiani akielekea Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani leo Sept 02,2021 kwa kwa ajili ya kuendelea kurekodi kipindi maarufu cha Royal Tour kitakachotangaza Utalii, Biashara na Uwekezaji Nchini.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi wa Kijiji cha Zinga Bagamoyo alipokuwa njiani akielekea Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani leo Sept 02,2021 kwa kwa ajili ya kuendelea kurekodi kipindi maarufu cha Royal Tour kitakachotangaza Utalii, Biashara na Uwekezaji Nchini. PICHA NA IKULU.

Previous articleDC HENRY JAMES AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO NA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI KATA YA MAKURUMLA WILAYANI UBUNGO, DAR
Next articleTMA YATOA SEMINA KWA WANAHABARI JUU YA TAARIFA ZA HALI YA HEWA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here