Home BUSINESS BRELA YAFANYA USAJILI NA KUTOA VYETI PAPO KWA HAPO KWENYE MAONESHO YA...

BRELA YAFANYA USAJILI NA KUTOA VYETI PAPO KWA HAPO KWENYE MAONESHO YA MADINI GEITA.



Maofisa wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni(BRELA) Bw. Benedickson Wilson na  Bi Roida Andusamile wakikabidhi vyeti vya usajili wa Majina ya  Biashara kwa wadau waliokamilisha taratibu za usajili katika banda la BRELA,  katika Maonesho  ya Nne ya Teknilojia ya Uwekezaji kwenye Sekta ya Madini, yanayofanyika katika uwanja wa kituo cha Uwekezaji, eneo la Bomba Mbili mkoani Geita.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here