Home BUSINESS BRELA YAFANYA USAJILI NA KUTOA VYETI PAPO KWA HAPO KWENYE MAONESHO YA...

BRELA YAFANYA USAJILI NA KUTOA VYETI PAPO KWA HAPO KWENYE MAONESHO YA MADINI GEITA.Maofisa wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni(BRELA) Bw. Benedickson Wilson na  Bi Roida Andusamile wakikabidhi vyeti vya usajili wa Majina ya  Biashara kwa wadau waliokamilisha taratibu za usajili katika banda la BRELA,  katika Maonesho  ya Nne ya Teknilojia ya Uwekezaji kwenye Sekta ya Madini, yanayofanyika katika uwanja wa kituo cha Uwekezaji, eneo la Bomba Mbili mkoani Geita.

Previous articleRC MAKALLA ATOA ONYO BIASHARA YA NGONO UWANJA WA FISI.
Next articleMKUU WA WILAYA YA GEITA WILSON SHIMO AIOMBA NHC KUJENGA NYUMBA GEITA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here