Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!
Mufti wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, akimkaribisha Balozi Mdogo wa Oman aliepo Zanzibar Said Salim Al-sinawiy, alipofika Ofisi ya Mufti Mazizini Mjini Unguja kujitambulisha.
. 

Mufti wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi akimkaguza baadhi ya vitengo vilivyomo ndani ya Ofisi ya Mufti wakati alipofika kujitambulisha.

Balozi mdogo wa Oman aliepo Zanzibar Said Salim Al-sinawiy, akitoa neno kwa Mufti wa Zanzibar alipofika Ofisini kwake kwaajili ya kujitambulisha.
Mufti wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, akizungumza na Balozi Mdogo wa Oman aliepo Zanzibar Said Salim Al-sinawiy alipofika Ofisini kwake Mazizini Mjini Unguja kujitambulisha.
Balozi mdogo wa Oman aliepo Zanzibar Said Salim Al-sinawiy akiagana na watendaji wa Ofisi ya Mufti mara baada ya kufika Ofisini hapo na KujitambulishaPICHA NA FAUZIA MUSSA –MAELEZO ZANZIBAR.




