Home LOCAL WAZIRI SIMBACHAWENE AKUTANA NA BALOZI WA CANADA NCHINI TANZANIA

WAZIRI SIMBACHAWENE AKUTANA NA BALOZI WA CANADA NCHINI TANZANIA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza na Balozi wa Canada nchini Tanzania, Pamela O’Donell (kulia), wakati balozi huyo alipofika kwa mazungumzo leo, Ofisi ya wizara jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi


Balozi wa Canada nchini Tanzania, Pamela O’Donell (kulia),akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene wakati balozi huyo alipofika kwa mazungumzo leo,Ofisi ya wizara jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Canada nchini Tanzania, Pamela O’Donell (kulia),baada ya kumaliza mazungumzo leo,Ofisi ya wizara jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Canada nchini Tanzania, Pamela O’Donell (wanne kulia),baada ya kumaliza mazungumzo leo,Ofisi ya wizara jijini Dodoma.Wengine ni wasaidizi wa Balozi na Maofisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Previous articleBALOZI MDOGO WA OMAN SAID SALIM AL-SINAWIY AJITAMBULISHA OFISI YA MUFTI ZANZIBAR
Next articleKARIBU USOME HABARI MAGAZETI YA LEO ALHAMISI SEPTEMBA 2-2021
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here