Home LOCAL BALOZI MDOGO WA OMAN SAID SALIM AL-SINAWIY AJITAMBULISHA OFISI YA MUFTI ZANZIBAR

BALOZI MDOGO WA OMAN SAID SALIM AL-SINAWIY AJITAMBULISHA OFISI YA MUFTI ZANZIBAR

Mufti wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, akimkaribisha Balozi Mdogo wa Oman aliepo Zanzibar Said Salim Al-sinawiy, alipofika Ofisi ya Mufti Mazizini Mjini Unguja kujitambulisha.
 . 
Mufti wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi akimkaguza baadhi ya vitengo vilivyomo ndani ya Ofisi ya Mufti wakati alipofika kujitambulisha.
   
Balozi mdogo wa Oman aliepo Zanzibar Said Salim Al-sinawiy, akitoa neno kwa Mufti wa Zanzibar alipofika Ofisini kwake kwaajili ya kujitambulisha.
 
Mufti wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, akizungumza na Balozi Mdogo wa Oman aliepo Zanzibar Said Salim Al-sinawiy alipofika Ofisini kwake Mazizini Mjini Unguja kujitambulisha.
 
Balozi mdogo wa Oman aliepo Zanzibar Said Salim Al-sinawiy akiagana na watendaji wa Ofisi ya Mufti mara baada ya kufika Ofisini hapo na Kujitambulisha
PICHA NA FAUZIA MUSSA –MAELEZO ZANZIBAR.
 

Previous articleRAIS WA ZANZIBAR DK.MWINYI AZINDUA MELI YA MIZIGO NA ABIRIA YA MV.IKRAM BANDARI YA WETE PEMBA
Next articleWAZIRI SIMBACHAWENE AKUTANA NA BALOZI WA CANADA NCHINI TANZANIA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here