Home LOCAL MHE. SAMIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO TLS NA TAWJA.

MHE. SAMIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO TLS NA TAWJA.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Profesa Edward Hoseah wakati Ujumbe wa Chama hicho ulipofika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo tarehe 11 Agosti, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Ujumbe wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) ulioongozwa na Rais wa Chama hicho Profesa Edward Hoseah, wakati Ujumbe huo ulipofika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 11 Agosti, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  akizungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake Tanzania (TAWJA)  Jaji Joaquine De-Mello, wakati alipoongoza Ujumbe wa Chama hicho, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 11 Agosti, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Ujumbe wa Chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake Tanzania (TAWJA) ulioongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Jaji Joaquine De-Mello, wakati Ujumbe huo ulipofika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 11 Agosti, 2021. (PICHA NA IKULU.)

Previous articleTAKUKURU YAPEWA RUNGU KUSHUGHULIKIA WALIOGEUZA TARIME SHAMBA LA BIBI
Next articleZAIDI YA TANI 70 ZA DAWA FEKI ZA SULPHER ZAKAMATWA TUNDURU.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here