Home LOCAL UJENZI MJI WA SERIKALI MTUMBA

UJENZI MJI WA SERIKALI MTUMBA

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Katibu wa kuratibu Serikali kuhamia Dodoma na ujenzi wa Mji wa Serikali Meshack Bandawe akiongoza kikao cha Timu ya wataalam wanaosimamia ujenzi wa miundombinu ya kudumu ya Mji wa Serikali inayohusu maji safi na maji taka,umeme, Mawasiliano, usalama, Majengo Marefu ya Wizara awamu ya pili, barabara za lami, Zimamoto na uokoaji, Gesi na upandaji miti na mandhari Itakayojengwa juu na chini ya Ardhi Mtumba Mkoani Dodoma.

(Picha na Projestus Binamungu – Idara ya Habari Maelezo Dodoma.)