Home LOCAL MAKAMU WA RAIS DKT.MPANGO AYAZINDUA RASMI MAONESHO YA 45 YA SABASABA DAR.

MAKAMU WA RAIS DKT.MPANGO AYAZINDUA RASMI MAONESHO YA 45 YA SABASABA DAR.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akipokea zawadi ya begi kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tantrade (kushoto) wakati wa ufunguzi rasmi wa Maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba Jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango (kulia) akipokea zawadi ya begi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Tan trade Edwin Rutaberuka (kushoto) kwaajili ya Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania  Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan wakati wa uzinduzi rasmi wa maonesho uliofanyika Julai 5 Jijini Dar es Salaam.
 

Previous articleSTAMICO YABEBA USHINDI WA JUMLA MAONESHO YA SABASABA.
Next articleTMDA YAJA NA MIKAKATI YA KUELIMISHA JAMII KUACHA MATUMIZI YA TUMBAKU.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here