Home BUSINESS KIONGOZI BRELA AWAHUDUMIA WATEJA WALIOFIKA KUPATA HUDUMA OFISINI KWAO DAR.

KIONGOZI BRELA AWAHUDUMIA WATEJA WALIOFIKA KUPATA HUDUMA OFISINI KWAO DAR.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) Bw. Seka Kasera, akiwasikiliza wateja waliofika kupata huduma katika ofisi za BRELA Makao Makuu, zilizopo  Jengo la Ushirika Mnazi mmoja, jijini Dar es Salaam.   Wateja hawa  kila mmoja kwa wakati wake, walipatiwa huduma na Bw. Kasera kwa niaba ya Afisa Mtendaji Mkuu wa BRELA  Bw. Godfrey Nyaisa,  ikiwa ni hatua mojawapo ya kuadhimisha  Wiki ya Utumishi wa Umma iliyoanza leo tarehe 16 Juni, 2021.