Home ENTERTAINMENTS DAVIDO KUWAFIKIA WATOTO YATIMA AFRIKA

DAVIDO KUWAFIKIA WATOTO YATIMA AFRIKA

NA: MWANDISHI WETU.

TAMASHA la Davido Global Unity linalo tarajiwa kufanyika June 18, sehemu ya mapato yake yatakwenda kusaidia watoto yatima.

Akizungumza na ukura huu muandaaji wa tamasha hilo Dickson Mkama ‘DMK’ amesema fedha hizo zitagawanywa katika vituo vya watoto yatima vilivyopo Afrika.

“Moja ya mipango yetu ni kuifikia jamii katika nyanja tofauti hivyo tumepanga sehemu ya mapato ya shoo hii yatakwenda kusaidia watoto yatima,” anasema DMK. 

Aliongeza  kuwa wadau wa muziki waweze kumfatilia tamasha hilo June 18, mubasha kupitia mtandao wa Shuruti.Com, kwa dola 5 ambapo watakuwa tayari wamechangia watoto yatima.


 

Previous articleKUMEKUCHA MISS DODOMA 2021.
Next articleKIONGOZI BRELA AWAHUDUMIA WATEJA WALIOFIKA KUPATA HUDUMA OFISINI KWAO DAR.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here