Home LOCAL DKT.MPANGO ATEMBELEWA NA MKURUGENZI WA NCHI ZA AFRIKA BENKI YA DUNIA IKULU...

DKT.MPANGO ATEMBELEWA NA MKURUGENZI WA NCHI ZA AFRIKA BENKI YA DUNIA IKULU CHAMWINO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji anayeziwakilisha Nchi za kundi la Afrika katika Banki ya Dunia Bw. Taufila Nyamazabo, wakati Mkurugenzi Taufila alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Chamwino Jijini  Dodoma leo Juni 07, 2021. kwenye Mazungumzo yao Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Mpango, ameishukuru Benki ya Dunia kwa Misada ya Kifedha kwa ajili ya Miradi mbalimbali ya Maendeleo kwa Tanzania.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akiwa na Mkurugenzi Mtendaji anayeziwakilisha Nchi za kundi la Afrika katika Banki ya Dunia Bw. Taufila Nyamazabo, wakati Mkurugenzi Taufila alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Chamwino Jijini  Dodoma leo Juni 07, 2021. Ambapo Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Mpango, ameishukuru Benki ya Dunia kwa Misada ya Kifedha kwa ajili ya Miradi mbalimbali ya Maendeleo kwa Tanzania.

 

Previous articleTANZANIA NA KOREA KUSINI WATIA SAINI MAENEO YA USHIRIKIANO
Next articleMKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO NI MALI YA SERIKALI – DKT. NDUGULILE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here