Home LOCAL RAIS MWINYI AELEKEA MSUMBIJI KUHUDHURIA MKUTANO WA SADC

RAIS MWINYI AELEKEA MSUMBIJI KUHUDHURIA MKUTANO WA SADC

 

Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakisalimiana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,wakati akielekea Nchini Msumbuji kuhudhuria Mkutano wa SADC unaotarajiwa kufanyika kesho Jijini Maputo.

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Viongozi wa Serikali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akielekea Nchini Msumbiji kuhudhuria Mkoato wa SADC unaotarajiwa kufanyika kesho Jijini Maputo Msumbiji

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na kuagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akielekea Nchini Msumbuji kuhudhuria Mkutano wa SADC unaotarajiwa kufanyika kesho Jijini Maputo Msumbiji.(Picha na Ikulu)

Previous articleBUPE MWAKANG’ATA ACHUKIZWA NA WIZI KATIKA MRADI WA MAJI NKASI, AITAKA WIZARA KUCHUKUA HATUA KALI
Next articleJESHI LA POLISI LAWASHIKILIA WATU WAWILI KWA MAUAJI DODOMA.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here