LOCAL
Home LOCAL
WAZIRI MKUU AAGANA NA BALOZI WA ANGOLA ALIYEMALIZA MUDA WAKE NCHINI
Ampongeza kwa kutumikia nchi yake kwa mafanikio makubwa ya kidiplomasia nchini._
Balozi de Oliveira asema Angola itaendelea kuwa mshirika wa karibu wa Tanzania._
WAZIRI MKUU Kassim...
SEKRETERIETI YA CCM IKITATHMINI UCHUKUAJI WA FOMU
Sekreterieti ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, ikiongozwa na Mwenyekiti wake, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt....
RAIS WA BURUNDI AWASILI TANZANIA, KUSHIRIKI UZINDUZI WA KIWANDA CHA MBOLEA...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amempokea Rais wa Jamhuri ya Burundi Mheshimiwa Evariste Ndayishimiye aliyewasili...
RAIS SAMIA AWAAPISHA VIONGOZI WATEULE IKULU, CHAMWINO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Balozi Simon Nyakoro Sirro kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma...
RAIS SAMIA ATAJA MAFANIKIO SEKTA YA NISHATI 2020-2025
Ni wakati akihitimisha shughuli za Bunge jijini Dodoma
JNHPP, Umeme Vijijini, Umeme wa Gridi Kigoma na Katavi; Ni baadhi ya Vielelezo vya mafanikio
Ataja miradi mikubwa...
DKT. SAMIA AMUAGIZA DKT. KIMAMBO KUSIMAMIA WELEDI NA UONGOZI MUHIMBILI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imefanya uwekezaji mkubwa wa vifaa tiba na wataalaam wenye utaalam...