Home LOCAL RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MTENDAJI MKUU NA RAIS WA KAMPUNI...

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MTENDAJI MKUU NA RAIS WA KAMPUNI YA BARRICK GOLD CORPORATION MARK BRISTON, IKULU CHAMWINO MKOANI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya Dola za Marekani (USD) 30,000,000.00 kutoka kwa Mtendaji Mkuu ambaye pia ni Rais wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation Mark Briston kwa ajili ya shughuli mbalimbali za Elimu, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Machi, 2023. Fedha hizo zitatumika katika ujenzi wa Mabweni 273 pamoja na Madarasa zaidi ya 1094 kwa Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Sita katika maeneo mbalimbali nchini Tanzani. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mtendaji Mkuu ambaye pia ni Rais wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation Mark Briston mara baada ya mazungumzo Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Machi, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mtendaji Mkuu ambaye pia ni Rais wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation Mark Briston pamoja na ujumbe wake mara baada ya mazungumzo Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Machi, 2023.
Previous articleWAZIRI MKUU AFUNGA KONGAMANO LA IDHAA ZA KISWAHILI DUNIANI
Next articleTANZANIA YAKABIDHI RASMI MSAADA NCHINI MALAWI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here