Home LOCAL WAZIRI MKUU AFUNGA KONGAMANO LA IDHAA ZA KISWAHILI DUNIANI

WAZIRI MKUU AFUNGA KONGAMANO LA IDHAA ZA KISWAHILI DUNIANI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea tuzo ya kukienzi Kiswahili baada ya kufunga Kongomano la Idhaa za Kiswahili Duniani kwenye ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul – Wakil, Zanzibar, Machi 19, 2023Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofunga Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani kwenye ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul – Wakil, Zanzibar, Machi 19, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Tabia Maulid Mwita akizungumza wakati alipomkaribisha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kufunga Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani kwenye ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul-Wakil, Zanzibar Machi 19, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Previous articleWAZIRI MKUU ATOA MAAGIZO MATANO KUKITANGAZA KISWAHILI
Next articleRAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MTENDAJI MKUU NA RAIS WA KAMPUNI YA BARRICK GOLD CORPORATION MARK BRISTON, IKULU CHAMWINO MKOANI DODOMA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here