Home BUSINESS BENKI YA CRDB, SILENT OCEAN ZAINGIA MAKUBALIANO YA KUWASAIDIA WAFANYABIASHARA

BENKI YA CRDB, SILENT OCEAN ZAINGIA MAKUBALIANO YA KUWASAIDIA WAFANYABIASHARA

Kaimu Mkurugenzi wa Wateja wadogo na wakati wa Benki ya CRDB, Bonaventure Paul (kushoto) kwa Pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Usafirishaji Mizigo ya Silent Ocean, Salah Mohammed wakisaini hati ya makubaliano ya kuwawezesha wafanyabiashara ambao wanaagiza bidhaa kutoka nje ya nchi kupitia Kampuni hiyo waweze kukidhi mahitaji ya soko na wakati huo huo kuepuka gharama za ziada zinazotokana na mzigo kukaa muda mrefu bandarini, ambapo wafanyabiashara hao watawezeshwa mkopo wa riba nafuu kwa kipindi cha kuanzia mwezi mmoja hadi miezi sita, katika hafla iliyofanyika leo Machi 21, 2023 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es salaam. Wengine pichani ni Mkuu wa Kitengo cha Sheria wa Benki ya CRDB, Pascal Mihayo (kushoto) pamoja na Mkuu wa Kitengo. Mauzo wa Silent Ocean, Godfrey Mbowe.
Kaimu Mkurugenzi wa Wateja wadogo na wakati wa Benki ya CRDB, Bonaventure Paul (kushoto) akibadilishana hati na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Usafirishaji Mizigo ya Silent Ocean, Salah Mohammed, muda  mfupi baada ya  kuzisaini ikiwa ni makualiano ya kuwawezesha wafanyabiashara ambao wanaagiza bidhaa kutoka nje ya nchi kupitia Kampuni ya Silent Ocean ili waweze kukidhi mahitaji ya soko na wakati huo huo kuepuka gharama za ziada zinazotokana na mzigo kukaa muda mrefu bandarini, ambapo wafanyabiashara hao watawezeshwa mkopo wa riba nafuu kwa kipindi cha kuanzia mwezi mmoja hadi miezi sita, katika hafla iliyofanyika leo Machi 21, 2023 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es salaam.
Kaimu Mkurugenzi wa Wateja wadogo na wakati wa Benki ya CRDB, Bonaventure Paul akizungumza katika hafla ya kuingia makualiano ya kuwawezesha wafanyabiashara ambao wanaagiza bidhaa kutoka nje ya nchi kupitia Kampuni ya Silent Ocean ili waweze kukidhi mahitaji ya soko na wakati huo huo kuepuka gharama za ziada zinazotokana na mzigo kukaa muda mrefu bandarini, ambapo wafanyabiashara hao watawezeshwa mkopo wa riba nafuu kwa kipindi cha kuanzia mwezi mmoja hadi miezi sita, katika hafla iliyofanyika leo Machi 21, 2023 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es salaam.
Mkuu wa Kitengo cha  Biashara wa Benki ya CRDB, Toyi Ruvumbagu akizungumza katika hafla ya kuingia makualiano ya kuwawezesha wafanyabiashara ambao wanaagiza bidhaa kutoka nje ya nchi kupitia Kampuni ya Silent Ocean ili waweze kukidhi mahitaji ya soko na wakati huo huo kuepuka gharama za ziada zinazotokana na mzigo kukaa muda mrefu bandarini, ambapo wafanyabiashara hao watawezeshwa mkopo wa riba nafuu
 

kwa kipindi cha kuanzia mwezi mmoja hadi miezi sita, katika hafla iliyofanyika leo Machi 21, 2023 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es salaam.

Previous articleCde: MBETO: ASISITIZA VYOMBO VYA HABARI KUTOA TAARIFA SAHIHI
Next articleUTAFITI WA VIWANDA NI MUHIMU UWEZESHWE 
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here