WAGONJWA SITA WENYE MATATIZO YA MFUMO WA UMEME WA MOYO WAPATIWA MATIBABU TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI)
Wataalamu wabobezi wa moyo na wazibuaji wa mishipa ya damu ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao wa Hospitali ya Shifa iliyopo nchini Misri wakimtibu mgonjwa mwenye matatizo ya hitilamu ya mfumo wa umeme wa moyo ambaye mapigo yake ya moyo yanakwenda haraka kuliko kawaida (Tachyarrhythmia’s) wakati wa...