RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WAZEE WA MKOA WA DAR ES SALAAM

0

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan  akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam leo tarehe 07 Mei, 2021katika Mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Mlimani City mkoani Dar es SalaamRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt....

SERIKALI KUZINDUA MFUMO WA KIELEKTRONIKI KUDHIBITI UHAMISHO WA WATUMISHI.

0

 Na:Maiko Luoga.Serikali imeandaa mfumo wa kielektroniki  ili kuchuja kwa uhakika uhamisho wote unaoombwa na kuwezesha Watumishi wa maeneo ya Vijijini kubaki katika maeneo hayo wakiendelea na majukumu yao badala ya kuomba kuhamia maeneo ya mijini.Hayo yamesemwa mei 06/2021 Bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt, Festo Dugange wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la...

TWCC YAMPONGEZA MHE. RAIS SAMIA KUONGEZA FURSA ZA KIBIASHARA NA KENYA.

0

Mwenyekiti wa TWCC Taifa Bi. Mercy Silla Akizungumza na waandishi wa habari (hawamo pichani) Katika mkutano wao maalum wa Kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Ofisini  kwao Jijini Dar es Salaam.Wajumbe wa Bodi ya TWCC wakimsikiliza Mwenyekiti wa Chama hicho Bi. Mercy Silla wakati wa mkutano wao na waandishi wa habari kumpongeza Mhe....

SHINYANGA YAPOKEA MILIONI 167.4 KWA AJILI YA ZOEZI LA KINGATIBA ZA KICHOCHO NA MINYOO YA TUMBO

0

kuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe.Zainab Telack akifungua kikao kazi Cha uraghibishaji na uhamasishaji wa Magonjwa Yaliyokuwa Hayapewi Kipaumbele kwa Viongozi wa Mkoa na Halmashauri zake Kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Shinyanga.Baadhi ya Wakurugenzi wa Halmashauri wakifuatilia mada Ilizowasilishwa Kwenye kikao kazi hicho.Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe.Zainab Telack akiongea na Mganga Mkuu wa Mkoa huo...

HABARI KUU ZILIZOPO MAGAZETI YA LEO ALHAMISI MEI 6-2025

0

Karibu msomaji wetu kwenye meza ya Magazeti ya leo uweze kujisomea habari kemkem za ndani na Nje ya Nchi yetu, Karibu sana.

DENMARK YATOA RUZUKU YANYONGEZA SH. BILIONI 1.6 KWA FCS KUSAIDIA MIRADI YA ASASI ZA KIRAIA NCHINI.

0

Balozi wa Denmark nchini Tanzania, Mette Nørgaard Dissing- Spandet (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa FCS, Francis Kiwanga (kulia) wakikabidhiana hati za mkataba wa fedha ya ruzuku ya nyongeza Sh. Bilioni 1.6 kutoka Denmark kwaajili ya kuisaidia FCS kuweza kutekeleza miradi ya Asasi za Kiraia Chini.Mkurugenzi Mtendaji wa FCS, Francis Kiwanga (kulia) akiweka saini wakati wa hafla fupi...