MISS PWANI YAKARIBISHA WADHAMINI.

0

Na:Mwandishi wetu.MUANDAAJI  wa shindano la urembo mkoani Pwani, Maryam Ahmed ambaye ni mmilikiwa wa kampuni ya Twiga Entertainment, anawakaribisha wadau mbalimbali kujitokeza kudhamini shindano hilo mwaka huu.Maryam Ahmed 'Twiga' ni moja ya wadua wakubwa wa shindano la urembo hapa nchini amewahi kutwaa mataji mbalimbali ya urembo ikiwemo miss Arusha mwaka 2007, na miss Kisura 2008.Akizungumza na wandishi wa habari...

SPIKA NDUGAI AONGOZA WABUNGE KATIKA FUTARI ILIYOANDALIWA NA BENKI YA CRDB JIJINI DODOMA

0

Baadhi ya Waheshimiwa Wabunge wakishiriki katika futari iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 04, 2021.Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai awaongoza Waheshimiwa Wabunge katika futari iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 04, 2021Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akizungumza na Mkurugenzi...

RAIS WA ZANZIBAR ALHAJ DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEJUMUIKA NA WANANCHI WA MKOA WA KASKAZINI PEMBA KATIKA FUTARI

0

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, baada ya kumalizika kwa Sala ya Tarawekh iliofanyika katika Masjid Ibadhi Mtemani Wete Pemba.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na...

WAKULIMA KUNUFAIKA NA NHIF KUPITIA CRDB

0

Mkurugenzi Mkuu wa NHIF Bw. Bernard Konga na Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bw. Abdulmajid Nsekela wakibadilishana mkataba baada ya kusaini makubaliano ya kuhudumia wakulima kupata bima ya afyaMkurugenzi Mkuu wa NHIF Bw. Bernard Konga na Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bw. Abdulmajid Nsekela wakisaini mkataba wakishuhudiwa na Mrajis wa Vyama vya Ushirika Dk. Benson Ndiege  Mkurugenzi...

RAIS SAMIA AHUTUBIA MABUNGE MAWILI YA KENYA ( BUNGE LA KENYA NA BUNGE LA SENETI) JIJINI NAIROBI

0

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Mabunge Mawili ya Kenya (Bunge la Taifa pamoja na Bunge la Senate la Kenya kwa pamoja Jijini Nairobi leo tarehe 05, Mei, 2021.  ...

KUTOKA MAGAZETINI ASUBUHI YA LEO J.TANO MEI-5 2021

0

 Karibu msomaji wetu kwenye meza ya Magazeti ya leo uweze kujisomea habari kemkem za ndani na Nje ya Nchi yetu, Karibu sana.