MAZAO YA KILIMO HAI YANA UHAKIKA WA SOKO
Mratibu wa Mkakati wa Vijana Kushiriki kwenye kilimo toka Wizara ya Kilimo Bw. Revelian Ngaiza (kulia) akiwa na Mkurugenzi wa SAT Bi. Janet Maro (kushoto) wakitazama mti wa karafuu ulipondwa na kikundi cha vijana Tugende Morogoro Vijijini wanazalisha mazao ya viungo kwa njia ya kilimo hai.Sehemu ya vijana wanachama wa vikundi vya Tugende na...
SHILINGI MILIONI 250 KUKAMILISHA MABOMA MATANO YA ZAHANATI SINGIDA
Na: Maiko LuogaSerikali imepanga kutumia Shilingi milioni 250 katika mwaka wa fedha 2021/2022 kwa ajili ya kukamilisha maboma matano ya Zahanati katika Halmashauri ya Wilaya ya Singida Mkoani Singida ili kuunga mkono jitihada zinazofanywa na wananchi katika kujenga na kuboresha miundombinu ya kutolea huduma za afya.Kauli hiyo imetolewa leo Bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI...
VIJANA 2,563 WAPATIWA MAFUNZO YA KILIMO HAI DODOMA
Sehemu ya vijana waliojiunga katika vikundi kuzalisha mazao kwa njia ya kilimo hai kijiji cha Nzari wilaya ya Chamwino chini ya uratibu wa shirika la Kilimo Endelevu (SAT) wakiwa kwenye picha na wataalam wa Wizara ya Kilimo hivi karibuni.Mratibu wa Mkakati wa Vijana Kushiriki kwenye kilimo toka Wizara ya Kilimo Bw. Revelian Ngaiza...
WAGONJWA SITA WENYE MATATIZO YA MFUMO WA UMEME WA MOYO WAPATIWA MATIBABU TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI)
Wataalamu wabobezi wa moyo na wazibuaji wa mishipa ya damu ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao wa Hospitali ya Shifa iliyopo nchini Misri wakimtibu mgonjwa mwenye matatizo ya hitilamu ya mfumo wa umeme wa moyo ambaye mapigo yake ya moyo yanakwenda haraka kuliko kawaida (Tachyarrhythmia’s) wakati wa...