MAJALIWA AKAGUA MACHINJIO YA KISASA VINGUNGUTI JIJINI DAR ES SALAAM

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama kazi ya uchinjaji mbuzi  katika Machinjio ya Kisasa Vingunguti jijini Dar es salaam, Mei 17, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua Mradi wa Machinjio ya Kisasa Vingunguti jijini. Dar es salaam, Mei 17, 2021.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama kazi...

MASHIRIKA YA UMMA YASIYOZINGATIA MWONGOZO WA BAJETI YAFANYIWE TATHIMINI UPYA: DKT. NCHEMBA

0

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt Khatibu Kazungu akisoma hotuba kwa niaba ya Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Mwigulu Nchemba wakati wa uzinduzi wa Mafunzo ya Mikataba ya Utendaji Kazi kati ya Ofisi ya Msajili wa Hazina na Bodi za Taasisi, Mashirika ya Umma na Wakala za Serikali jana kwenye...

KAMATI YA MWENENDO WACOVID -19 YASHAURI UWEPO WA CHANJO YA UGONJWA HUO.

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Kamati Maalum aliyoiunda kwa ajili ya kufanya tathmini ya Ugonjwa wa Corona COVID -19 nchini kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo Profesa Said Aboud Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 17 Mei, 202DAR ES SALAAM.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan...

PROF. MAKUBI AHIMIZA UFANISI UPIMAJI COVID 19 UWANJA WA NDEGE WA JULIUS NYERERE

0

 Katibu Mkuu Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi akizungumza na watumishi wa wizara hiyo ambao ni maafisa afya wanaohudumu katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere pamoja na wadau wanaotoa huduma za kifedha kwa abiria wanaofanya malipo ya kipimo cha Covid 19 wanapowasili nchini, ili kujua changamoto zinazojitokeza katika utoaji wa huduma hizo na maboresho...

KADINDA ANG’ARA TUZO ZA HARUSI.

0

 DAR ES SALAAM.MBUNIFU nguli wa mavazi nchin, Martin Kadinda ameibuka kinara wa tuzo za Harusi msimu wa kwanza  kwa upande wa mavazi ya kiume. Tuzo za Harusi kwa mara ya kwanza  zimefanyika juzi katika hoteli ya Serena zilihusisha watoa huduma mbalimbali katika sekta ya harusi.Akizungumza na wandishi wa habari  Kadinda amesema amefurahishwa na ushindi huo na kuwapongeza waandaaji wa tuzo...