BUNGE LAPITISHA BAJETI YA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki na Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Abdallah Ulega (katikati) wakipongezana mara baada ya Bunge kupitisha bajeti ya Wizara hiyo jana(28.05.2021) jana katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Kulia kwao ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo (Mifugo) Prof. Elisante Ole Gabriel na kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Uvuvi nchini (TAFICO) Bi....
ACHENI KUNG’ANG’ANIA KUFANYA BIASHARA MOJA: ANGELINA NGALULA.
Mwenyekiti wa TPSF Angelina Ngalula akizungumza wakati wa mkutano wa mwezi ulioandaliwa na TWCC Jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa TWCC Taifa Mercy Silla akizungumza mbele ya wanachama wa chama hicho (hawapo pichani) wakati wa mkutano huo Mei 29,2021 Jijini Dar es Salaam. Na: Hughes Dugilo, DAR ES SALAAM. Mwenyekiti wa Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) Angelina Ngalula amewataka wafanyabiashara...
CHAMA CHA WANASHERIA WANAWAKE (TAWLA) CHAFANYA MKUTANO MKUU WA 31 WA MWAKA
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Tulia Ackson Mwansasu akizungumza katika mkutano wa 31 wa mwaka wa Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) unaofanyika kwenye Hoteli ya Coral Beach Masaki jijini Dar es Salaam leo Jumamosi 29,2020 Katikati ni Lulu Ngw’anakilala Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TAWLA na...
ELIMU NA HAMASA ITOLEWE KWA WAKULIMA NA WAFUGAJI KUHUSIANA NA BIMA.
Kaimu katibu tawala mkoa wa Arusha Agney Chitukuro akifungua maonesho na kampeni ya bima kwa wakulima na wafugaji.Mmoja wa wakulima ambaye ameshanufaika na bima akiwaeleza wakulima wengne jinsi bima ya kilimo na bima ya afya zilivyomsaidia.Mwakilishi wa waandaji wa maonesho na kampeni ya bima kwa wakulima na wafugaji hayo Grace Kavishe akisoma risala yao.Mwakilishi wa makapuni ya Bima Gasto...
AFIIA WAADHIMIA KUFANYA KAZI KWA KUTUMIA VIWANGO VYA KIMATAIFA KATIKA KUFANYA KAGUZI
mwe nyekiti wa Taasisi ya wakaguzi wa ndani wa bara la Afrika{AFIIA} Emmanuel Johanes akifunga mkutano wao wa saba uliofanyika jijini Arusha.NA:NAMNYAK KIVUYO, ARUSHA.Taasisi ya wakaguzi wa ndani wa bara la Afrika {AFIIA} wameadhimia kufanya kazi kwa kutumia viwango vya kimataifa kwa kuacha kutumia mbinu za kizamani kufanya ukaguzi wakati teknolojia imekuwa pamoaja kuboresha utekelezaji wa serikali katika mipango...