HOSPITALI YA MIRACOLO SEGEREA WAPIMA AFYA BURE.

0

 Daktari wa hospitali ya Miracolo akichukua damu kutoka kwa Wananchi waliojitokeza kuchangia damu katika madhimisho ya miaka mitano ya hospitali ya Miracolo (PICHA NA HERI SHAABAN)Mmoja wa Wananchi akipima afya bure Segerea katika madhimisho ya miaka mitano ya hospitali ya miracolo (PICHA NA HERI SHAABAN)Mmoja wa Wananchi akipima afya bure Segerea katika madhimisho ya miaka mitano ya hospitali ya...

UCSAF WAWAJENGEA UWEZO WATOA HUDUMA ZA MAWASILIANO KANDA YA KASIAZINI.

0

Mhandisi Idara ya Uendeshaji wa UCSAF Shirikisho Mpanduji akiongea na waandishi wa habari katika semina iliyotolewa na mkofuko huo kwa watoa huduma za mawasiliano kanda ya Kaskazini.Baadhi ya watoa huduma za mawasiliano kanda ya kaskazini wakisikiliza jambo katika semina waliyopewa na mfuko wa mawasiliano kwa wote(UCSAF) semina iliyofanyika mkoani Arusha.NA: NAMNYAK KIVUYO, ARUSHA.Mfuko wa mawasiliano kwa wote (UCSAF) ulio...

WAZIRI SIMBACHAWENE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KUSIMAMIA, KUDHIBITI NA KURATIBU MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA MAMBO YA NDANI.

0

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akiongoza Kikao cha Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato ya Wizara hiyo kwa Kipindi cha Robo Tatu ya Mwaka 2020/2021 kinachofanyika leo,jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.Kamishna Jenerali wa Uhamiaji,Dkt. Anna Makakala akizungumza katika  Kikao cha Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato ya Wizara ya...

RC MAKALLA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI JAFO.

0

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla leo May 31 ametembelewa ofisini kwake na Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Suleiman Jaffo na kufanya mazungumzo mbalimbali hususani jitiada za kuboresha Mazingira Jijini Dar es salaam.