WAZIRI UMMY ATANGAZA WANAFUNZI 148,127 WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA UFUNDI 2021.

0

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Ummy Mwalimu,akizungumza na waandishi wa habari wakati akitangaza  majina ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga Kidato cha tano 2021 Vyuo vya Kati na Ufundi leo June 1,2021 jijini Dodoma.Na: Alex Sonna,DODOMA.Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za...

BUNGE LAPITISHA ZAIDI YA SH.BILIONI 54 YA WIZARA YA HABARI KUTEKELEZA MAJUKUMU YAKE

0

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa akitoa hoja ili Bunge lipitishe Bajeti ya Wizara hiyo ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara hiyo kwa Mwaka 2021/2022, Mei 31, 2021 Jijini Dodoma Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Pauline Gekul akifafanua na kujibu hoja za Wabunge zilizowasilishwa...

WAZIRI MKUU AKABIDHI MAGARI YA WAGONJWA 20

0

DODOMA.WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekabidhi magari ya wagonjwa 20 yenye thamani ya sh. bilioni 2.24 ambayo yatapelekwa kwenye vituo vya afya 13, hospitali za halmashauri tano, ya wilaya moja na ya rufaa ya mkoa moja katika mikoa 17.Akikabidhi magari hayo leo (Jumanne, Juni mosi, 2021) katika hafla fupi iliyofanyika Ofisini kwake Mlimwa, jijini Dodoma, Waziri Mkuu amezitaka Halmashauri zitenge...

WATAALEM SEKTA YA MANUNUZI WAASHWA KUWA WAADILIFU.

0

Naibu Karibu Mkuu wizara ya fedha na mipango Khatib Kazungu akifungua kongamano la 8 la PPRA kwa niaba ya waziri wa fedha na mipango Dkt Mwigulu Nchema.Afisa Mtendaji Mkuu wa PPRA Mhandisi Leonard Kapongo akiongea wakati wa ufunguzi wa kongamano lao lililofanyika mkoani Arusha.Baadhi ya watendaji wa Taasisi za manunuzi wa umma wakifuatilia yanauoendelea  katika kongamano lao la 8...

MBUNGE ALIYEVAA SURUALI YA KUBANA AONDOLEWA BUNGENI

0

BUNGENI, DODOMA.Mbunge wa Momba Condester Michael Sichalwe ametolewa ndani ya ukumbi wa bunge ili akabadilishe mavazi yake baada ya mbunge wa Nyangw’ale, Hussein Nassor Amar kuomba muongozo wa Spika kuwa kuna baadhi ya wabunge wamevaa mavazi yasio na maadili.Spika alimtaka mbunge Hussein Nassor Amar kumtaja mmoja ambaye amemuona ndipo alipomtaja Mbunge wa Momba Condester...

MKUU WA MKOA MARA AFUNGUA MAADHIMISHO YA JUMA LA ELIMU KITAIFA, APONGEZA MCHANGO WA WADAU WA ELIMU

0

Mkuu wa Mkoa wa Mara, Mhandisi Robert Luhumbi (katikati) akizungumza wakati alipokuwa akifungua Maadhimisho ya Juma la elimu kitaifa yanayofanyika eneo la Shirati wilayani Rorya. kulia ni Mratibu wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET), Bw. OcholaWayoga na Mkuu wa Wilaya ya Rorya, Bw. Simon Odunga (kushoto). ...