MJASIRIAMALI EVAGLORY LWEBANGIRA ANG’ARISHA MAONESHO YA IBUKIE JIJINI DAR.

0

Mjasiriamali anaejishughulisha na utengenezaji wa bidhaa za kazi za mikono ikiwemo nguo na mikoba Evaglory Lwebangira akionesha moja ya bidhaa zake kwenye banda lake la maonesho ya wajasiriamali wanawake yaitwayo IBUKE katika viwanja vya Kijiji cha makumbusho Kijitonyama Dar es salaam.Mjasiriamali anaejishughulisha na utengenezaji wa bidhaa za kazi za mikono ikiwemo nguo na mikoba Evaglory Lwebangira akiwa...

SERIKALI KUENDELEZA UTAFITI WA MALISHO YA MIFUGO: DKT. MWILAWA.

0

Mkurugenzi wa Utafiti, Mafunzo na Ugani kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Dkt. Angelo Mwilawa (aliyechuchumaa) akitoa maelezo kuhusu malisho ya nyasi aina ya “buffel au “Cenchrus ciliaris” kama yanavyojulikana kitaalam wakati wa ziara ya wafugaji na wazalishaji wa malisho kutoka Njombe, Mbeya, Tanga na Kilimanjaro iliyofanyika kwenye ofisi za Taasisi ya Utafiti...

RAIS MWINYI ATEMBELEWA NA MWAKILISHI WA UN WOMEN TANZANIA IKULU ZANZIBAR.

0

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwakilishi Mkaazi wa UN Women Nchini Tanzania Bi.Hodan Addou, wakati akimkabidhiwa  mkoba ukiwa na ujumbe wa maneno “Wanawake Wana Haki ya Kuongoza” , baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein...

TUTUBA: WATENDAJI TAASISI ZA MANUNUZI MNAWAJIBU KUTUMIA NAFASI ZENU KWA MANUFAA YA TAIFA.

0

karibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Emmanuel Tutuba akifunga kongamano la mwaka la usimamizi katika ununuzi wa umma lililofanyoka mkoani Arusha.NA: NAMNYAK KIVUYO, ARUSHA.Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Emmanuel Tutuba amesema kuwa watendaji wa Taasisi za manunuzi wanawajibu wa kutumia nafasi zao katika kulisaidia taifa kwa kuweza kupata thamani halisi ya fedha katika manunuzi wanaoufanya.Tutuba aliyasema...

HATUTARUHUSU MTENDAJI ABAKI NA FEDHA AKISUBIRI MUDA WA NYONGEZA – WAZIRI MKUU

0

DODOMA. WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali haitaruhusu mtendaji wake abaki na fedha kwa uzembe halafu ategemee kupewa muda wa nyongeza baada ya mwaka wa fedha kuisha. “Tunatarajia kufanya maboresho ya kanuni ambayo yataruhusu matumizi ya fedha miezi kadhaa baada ya mwaka fedha kuisha ili ziweze kukamilisha miradi ambayo haijakamilika. Hatutahitaji kuona mzembe akibaki na fedha bila kuzitumia,...

BRELA YARAHISISHA HUDUMA ZAKE, YASAJILI NA KUTOA VYETI PAPO KWA PAPO JIJINI TANGA.

0

 Naibu Waziri wa Wizara ya Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (mwenye tai nyeusi) akipokea maelezo kuhusu usajili unaotolewa na Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), kutoka kwa Afisa Msajili Msaidizi Bi. Maryglory, alipotembelea banda la Taasisi hiyo, kabla ya ufunguzi rasmi wa Maonesho ya Biashara Tanga, yaliyoanza Mei 28, 2021, katika viwanja vya Mwahako jijini  Tanga....